Gurudumu la Uchumi
Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Tanzania na aliyoyaibua
Imechapishwa:
Cheza - 08:35
Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia kuhusu ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za Serikali nchini Tanzania, mapendekezo yake na mapungufu ambayo yaliibuliwa kwenye ofisi za Serikali na mkaguzi wa uma.