Wimbi la Siasa

Serikali ya Umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini suluhisho la mgogoro wa nchi hiyo?

Sauti 09:56
Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir-kulia akiwa na makamu wake Riek Machar-kushoto
Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir-kulia akiwa na makamu wake Riek Machar-kushoto Reuters/Stringer

Suala la Uundwaji wa Serikali ya Umoja wa kitafa ya mpito nchini Sudani Kusini bado ni hoja ambayo imegubikwa na rundo la maswali kama itakuwa suluhu ama la kutibu mgogoro ambao umedumu kwa zaidi ya miaka miwili. Fuatilia makala haya ya Wimbi la Siasa upande undani wa mada hii na Victor Robert Wile ambaye amekuwa akifuatilia kwa karibu kinachoendelea nchini humo........