Gurudumu la Uchumi

Uhaba wa sukari nchini Tanzania na athari zake

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili anazungumza na mchambuzi wa masuala ya uchumi kuhusu athari za uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi, na kwanini viwanda vya ndani ya nchi ya Tanzania havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha kwa taifa.Nini kifanyike, nani wakumkmata kuhakikisha sukari inapatikana, hatua zinazochukuliwa na Serikali ni sahihi?

RFI