Wimbi la Siasa

Uchaguzi mkuu nchini DRC bado njiapanda, wanasiasa waanza kujitokeza kuwania Urais

Imechapishwa:

Uchaguzi wa Rais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu wa 2016 lakini bado kuna changamoto mbalimbali ambazo zinatia shakashaka kwa uchaguzi huo kufanyika. Hata hivyo pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi kuonyesha wasiwasi, wanasiasa wameanza kuonyesha nia ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais. ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa kupata undani wa mustakabali wa uchaguzi nchini DRC........

Rais wa DRC Joseph Kabila
Rais wa DRC Joseph Kabila AFP PHOTO/JIM WATSON