Gurudumu la Uchumi

Kukosekana kwa sukari nchini Tanzania na athari zake kwa nchi ya Tanzania

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameendelea na mjadala kuhusu uhaba wa sukari nchini Tanzania, ambapo juma lililopita tulianza kwa kuangazia ni kwanini hali hii imejitokeza na nini kinaweza kufanyika, wiki hii makala inaendelea pale ilipoishia juma lililopita.

Mkuu wa mkoa wa DSM. Paul Makonda akikagua shehena ya sukari iliyokamatwa bandarini
Mkuu wa mkoa wa DSM. Paul Makonda akikagua shehena ya sukari iliyokamatwa bandarini RFIKISWAHILI