Wimbi la Siasa

Uamuzi wa Mahakama DRC wapingwa

Imechapishwa:

Wadau wa siasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, DRC wamekosoa vikali uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini humo wa kuamua kuwa Rais Joseph Kabila anaweza kuendelea kuwa katika wadhifa huo hata baada ya muda wake kumalizika mwezi Disemba mwaka huu kama uchaguzi mwingine hautafanyika. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupitia RFI KISWAHILI

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila © AFP PHOTO / CARL DE SOUZA
Matangazo ya kibiashara

Mtu mmoja auawa katika maandamano DRC