Gurudumu la Uchumi
Matumizi sahihi ya teknolojia ni jibu la uchumi wa Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 09:33
Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia yaliyojiri kwenye mkutano wa kimataifa wa kiuchumi wa World economic Forum uliofanyika jijini Kigali, Rwanda na kuhudhuriwa na wakuu mbalimbali wa nchi.