Habari RFI-Ki

Mgomo wa siku tatu Mashariki mwa DRC

Sauti 10:18
Waasi wa FDLR
Waasi wa FDLR

Mashirika ya kiraia Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yametangaza siku tatu za mgomo na maombolezo kwa sababu ya mauaji dhidi ya raia katika Wilaya za Beni, Bukavu na Lubero. Je, njia hii itasaidia kupambana na mauaji haya ? Ndio mada yetu leo.