Wimbi la Siasa

Mazungumzo ya Burundi kutegua kitendawili cha upatikanaji amani

Imechapishwa:

Mazungungumzo ya Burundi ya kusaka amani nchini Burundi yakiratibiwa na msuluhishi Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa yalifanyika hivi karibuni jijini Arusha nchini Tanzania. Je mazungumzo hayo ni mwanzo wa kufunguliwa kwa ukurasa mpya katika jitihada za kusaka amani nchini Burundi? Makinika na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata majibu ya suala hilo..................

Hali ilivyokua katika mitaa y Bujumbura nchini Burundi
Hali ilivyokua katika mitaa y Bujumbura nchini Burundi STRINGER / cds / AFP