Mjadala wa Wiki

Mazungumzo ya amani kuhusu mzozo wa Burundi

Imechapishwa:

Awamu ya kwanza ya amani kuhusu mzozo wa Burundi, yamemalizika mjini Arusha nchini Tanzania.Imekubaliwa kuwa mazungumzo hayo yatarejelewa  tena baada ya majuma mawili yajayo na muungano wa upinzani CNARED kushirikishwa.Tumejadili hili katika Makala yetu ya kila Jumatano ya Mjadala wa wiki

Polisi wakipiga doria jijini  Bujumbura
Polisi wakipiga doria jijini Bujumbura STRINGER / cds / AFP