Wimbi la Siasa

Siasa za Kenya njia panda kuelekea uchaguzi wa mwaka 2017

Imechapishwa:

Hali ya kisiasa nchini Kenya imeingia katika sura mpya baada ya upinzani nchini humo kutaka Tume Huru ya Uchaguzi-IEBC kujiuzulu ili tume nyingine iundwe kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka 2017. Upinzani nchini Kenya unataka tume hiyo iondoke huku wakiendesha maandamano ya kila wiki. Ungana na Victor Robert Wile kujua mustakabali wa Kenya............

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta TONY KARUMBA / AFP