Gurudumu la Uchumi

Kujitoa kwa nchi ya Uingereza na athari zake kwa Jumuiya ya umoja wa Ulaya

Sauti 10:04
PHILIPPE HUGUEN / AFP

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumzia kuhusu kampeni za pande mbili nchini Uingereza kuhusu kuamua ikiwa nchi hiyo ibakie ndani ya umoja wa Ulaya au ijitoe.