Wimbi la Siasa

Wapinzani Kenya wataka mazungumzo na Serikali

Sauti 09:29
Waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wakiwa bkatika maandamano Juni 1 mwaka huu
Waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wakiwa bkatika maandamano Juni 1 mwaka huu REUTERS/Goran Tomasevic

Muungano wa Vyama vya upinzani nchini Kenya -CORD wameitaka Serikali kufanya nao mazungumzo kuhusu hatima ya Tume Huru ya Uchaguzi-IEBC lakini Serikali inasema upinzani kufuata katiba ili kutimiza azma ya kuiondoa tume hiyo. Kufuatia sintofahamu hiyo nini kitarajiwe nchi Kenya? Ungana na Victor Robert Wile kupata undani wa mada hii.