Mjadala wa Wiki

Hatua ya rais Museveni kumteua mke wake kuwa Waziri

Sauti 12:40
Janet Museveni mke wa rais wa Uganda
Janet Museveni mke wa rais wa Uganda Uganda News

Rais wa Uganda kwa mara nyingine amemteua mke wake Bi.Janet Museveni kuwa Waziri wa Elimu na Michezo.Awali, alikuwa Waziri wa eneo la Karamoja kaskazini mwa nchi hiyo.Je, uteuzi kama huu unaweza kuathiri kwa kiasi gani  utawala bora na uwajibikaji nchini Uganda na barani Afrika ? Tunachambua hili.