Gurudumu la Uchumi

Tathmini kuhusu bajeti za nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Sauti 09:30
Nembo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Nembo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki http://eac.int/

Bajeti kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimesomwa Juni 8 mwaka huu, na kwa sehemu kubwa fedha zilizotengwa na nchi zote kwaajili ya bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17, zimeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, afya, elimu, kilimo, ajira na vijana pamoja na miundo mbinu. Lakini wakati zikiwa zimesomwa wananchi wa Afrika Mashariki watanufaikaje na bajeti hizi? Nini matarajio yao? Makala ya Gurudumu la Uchumi leo inaangazia mustakabali wa bajeti za Afrika Mashariki.