Watanzania wengi wataka bunge kuoneshwa moja kwa moja
Imechapishwa:
Sauti 10:03
Watanzania walio wengi sawa na 79 hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kupitia runinga na redio. Wananchi wote wanaofikia asilimia 92 wanaamini kuwa ni muhimu vikao hivyo virushwe moja kwa moja.Tunajadili hili kwenye Makala haya hivi leo