Wimbi la Siasa

Upinzani nchini Tanzania wadai demokrasia inaminywa

Imechapishwa:

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeilalamikia Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli kwa kuminya demokrasia nchini humo na hata kudhoofisha upinzani ndani na nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tunajadili suala hili.

Wabunge nchini Tanzania
Wabunge nchini Tanzania
Vipindi vingine