Siku ya Kimataifa ya wakimbizi
Imechapishwa:
Sauti 10:24
Leo ni siku ya Kimataifa ya wakimbizi. Umoja wa Mataifa unasema, zaidi ya watu Milioni 65 ni wakimbizi kote duniani. Ni siku ya kuwakumbuka wakimbizi wanaoishi katika mazingira magumu na kutafakari ni vipi wanaweza kusaidiwa na namna duniani inaweza kukabiliana na ongezeko hili kubwa.