Gurudumu la Uchumi

Fahamu nini maana ya Hisa na faida zake

Sauti 09:53
RFI

Makala ya juma hili ya Gurudumu la Uchumi, inaangazia kuhusu Hisa, kwa msikilizaji, hii ni fursa yako ya kusikiliza mahojiano ya mtangazaji wa idhaa hii na mtaalamu wa masoko ya Hisa, wakiangazia Hisa ni nini na faida zake.