Wimbi la Siasa

Burundi na safari ya kusaka suluhu

Sauti 09:57
AFP Photo/Simon Maina

Harakati za kusaka amani nchini Burundi zinaendelea kwa pande zinazohusika na mgogoro huo kusikilizwa na msuluhishi Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa kabla ya kuendelea kwa mazungumzo ya pamoja ambayo yanaweza kusaidia Burundi kurejea katika hali ya kawaida. Je ni njia zipi zinapaswa kutumika ili kufikia adhima hiyo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua mengi zaidi.