Gurudumu la Uchumi

Athari za kiuchumi kwa Afrika baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa EU

Sauti 09:44
Kiongozi wa kampeni ya Uingereza kutoka kwenye umoja wa Ulaya, Boris Johnson akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa
Kiongozi wa kampeni ya Uingereza kutoka kwenye umoja wa Ulaya, Boris Johnson akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa REUTERS/Mary Turner/Pool

Juma hili kwenye makala ya Gurudumu la uchumi, imeangazia hatua ya nchi ya Uingereza, kupiga kura ya kujitoa kwenye umoja wa Ulaya, kura ambayo mbali na kuwashtua viongozi walioongoza kampeni ya kubaki bali wakuu wa jumuiya ya Ulaya na Marekani ambao wameeleza hofu ya kutikisika kwa uchumi wa dunia.