Mjadala wa Wiki

Mustakabali wa kisiasa nchini DRC

Sauti 12:35
Joseph Kabila, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Februari 3, 2015.
Joseph Kabila, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Februari 3, 2015. © AFP PHOTO / CARL DE SOUZA

Mjadala wa wiki leo hii tunachambua mustakabali wa siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuelekea Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Novemba huku kukiwana wasiwasi wa rais Joseph Kabila kubadilisha katiba ili kuwania wadhifa huo kwa muhula wa tatu.