Wimbi la Siasa

Uchaguzi mkuu nchini DRC giza nene latanda

Sauti 09:58
Rais wa DRC, Josephu Kabila
Rais wa DRC, Josephu Kabila RFI

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC mwaka huu kama mambo yangeenda sawa uchaguzi mkuu ungefanyika mwishoni mwa mwaka huu lakini hofu iliyopo miongoni mwa wanasiasa nchini humo ni kutofanyika kwa uchaguzi. Kujua kama uchaguzi huo utafanyika ama la unganna na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa.