Wimbi la Siasa

Kujitoa kwa Ababu Namwamba kutikisa cha cha ODM?

Imechapishwa:

Chama cha upinzani cha ODM nchini Kenya hivi karibuni kilipata pigo la kisiasa baada ya Katibu Mkuu wake Ababu Namwamba kujiuzulu nafasi yake. Je hatua ya kujiuzulu kwa kiongozi huyo kutaleta athari gani ndani ya ODM na Muungano wa CORD? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa.

Kiongozi wa Muungano wa CORD na ODM, Raila Odinga
Kiongozi wa Muungano wa CORD na ODM, Raila Odinga REUTERS/Noor Khamis
Vipindi vingine