Wimbi la Siasa

Mazungumzo ya Burundi yaibua changamoto

Sauti 09:58
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza RFI

Mazungumzo ya awamu ya pili ya amani nchini Burundi yamefanyika hivi karibuni jijini Arusha nchini Tanzania na kuwakutanisha wadau mbalimbali chini ya uratibu wa Rais Mstafu wa Awamu ya tatu wa serikali ya Tanzania huku ikionekana wazi kuwa kuna changamoto ambazo bado zinastahili kupatiwa ufumbuzi kabla ya kuanza rasmi kwa mazungumzo. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua mengi zaidi.