Joto la kisiasa lazidi kupanda Marekani

Sauti 10:00
Wagombea wa Urais nchini Marekani Donald Trump na Hillary Clinton
Wagombea wa Urais nchini Marekani Donald Trump na Hillary Clinton RFI

Joto la kisiasa linazidi kupanda nchini Marekani kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba 2016 baada ya vyama vikuu vya siasa Republican na Democrat kupata wagombea wake Hillary Clinton na Donald Trump na kila mmoja akijinadi katika kampeni ili kuwashawishi Wamarekani wamuunge mkono. Je ni Hillary Clinton au Donald Trump atakayemudu kuvaa viatu vya Rais Barack Obama? Kupata mengi zaidi na katika Makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile.