Ufaransa na sera yake ya ushirikiano wa kibiashara na uchumi kwa mataifa ya Afrika

Sauti 09:58
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Marc Ayrault.
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Marc Ayrault. Emmanuel Makundi/RFI

Juma hili kwenye makala ya Gurudumu la Uchumi, tunaangazia ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Marc Ayrault, aliyoifanya mwishoni mwa juma lililopita kwenye nchi za Kenya na Tanzania, je ziara hii inamaanisha nini kwa ushirikiano wa mataifa haya kibiashara na kiuchumi?