Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua dhi Burundi?

Sauti 10:05
Rais wa Burundi Perre Nkurunziza
Rais wa Burundi Perre Nkurunziza RFI

Serikali ya Burundi hivi karibuni ilitupilia mbali hatua ya Umoja wa Mataifa ya kutaka kupelekwe askari wake wa kulinda amani nchini Burundi. Hoja zinazobaki mezani ni pamoja na hatua ambazo Umoja wa Mataifa utachukua baada ya Burundi kukataa. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua mengi zaidi.