Mustakabali wa kilimo Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika

Sauti 10:18
RFI/Marien Nzikou-Massala

Kwenye makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, mtayarishaji wa makala haya murua ya uchumi na biashara, ameangazia sherehe za nane nane nchini Tanzania, sherehe maalumu kwaajili ya wakulima. Lakini kilimo cha Tanzania na nchi za Afrika Mashariki kina nafasi gani katika kukuza kipato cha wakulima, familia na taifa kwa ujumla? je, kilimo kinapewa nafasi gani? Haya pamoja na mengine mengi, yamejadiliwa kwenye makala ya gurudumu la uchumi juma hili.