UN kuibana upya Sudan Kusini?

Sauti 09:59
Rais wa SudanI Kusini Salva Kiir
Rais wa SudanI Kusini Salva Kiir REUTERS/Stringer

Uhusiano wa Sudani Kusini na Umoja wa Mataifa unaonekana kuingia katika hali ya sintofahamu baada ya Serikali ya Salva Kiir kutupilia mbali azimio la kutumwa kwa walinda amani 4000 wa Umoja wa Mataifa kutoka katika nchi za kikanda, IGAD.Suala la msingi linalobaki mezani ni kuona hatua ambazo Umoja wa Mataifa utachukua dhidi ya Sudani Kusini. Kupata mengi na kwa undani ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa.