Sehemu ya pili kuhusu wakulima na changamoto wanazokutana nazo katika mataifa ya kusini mwa Afrika

Sauti 09:56
Kilimo cha mahindi ambacho kinalimwa kwa wingi kwenye nchi za Kusini mwa Afrika SADC
Kilimo cha mahindi ambacho kinalimwa kwa wingi kwenye nchi za Kusini mwa Afrika SADC sadc.int

Katika makala ya juma hili, tunakuletea sehemu ya pili ya mjadala tuliouanza juma lililopita ambapo tunaendelea kukiangazia kilimo kwenye nchi za kusini mwa Afrika, ambako kilimo kinategemea kwa sehemu kubwa na wananchi wake. Tunaendelea na mazungumzo na Starmius Mtweve akiwa Sumbawanga Tanzania na Burton Nsape mkulima wa Embe na mbegu za muhogo akiwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.