Demokrasia na Siasa za Afrika, mwelekeo uko wapi?
Imechapishwa:
Sauti 09:56
Demokrasia ni moja ya nyenzo inayoweza kuleta ya ustawi ndani ya jamii na ndiyo maana siku ya Demokrasia huadhimishwa kimataifa kila Septemba 15 ya kila mwaka kama njia ya kuhamasisha ustawi wake. Barani Afrika hali ikoje Barani Afrika? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa.