Wimbi la Siasa

Rais amtaka Mugabe aachie ngazi

Sauti 09:57
Robert Mugabe, rais wa Zimbabwe
Robert Mugabe, rais wa Zimbabwe Reuters/Philimon Bulawayo

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ametakiwa kuachia ngazi kwa kuwa amekaa muda mrefu madarakani ili kutoa nafasi kwa viongozi wengine na kuachana na dhana ya uchu wa madaraka. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua undani wa mada hiyo.