Gurudumu la Uchumi

Nchi ya DRC na Tanzania zakubaliana kushirikiana kiuchumi

Sauti 09:21
Rais wa DRC, Josephu Kabila, akiteta jambo na rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli wakati alipokuwa ziarani jijini Dar es Salaam, Tanzania, 4 October 2016.
Rais wa DRC, Josephu Kabila, akiteta jambo na rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli wakati alipokuwa ziarani jijini Dar es Salaam, Tanzania, 4 October 2016. Ikulu/Tanzania

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia ziara ya Rais wa DRC, Josephu Kabila nchini Tanzania, ambapo alikutana na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli.Kwenye mazungumzo yao, viongozi hawa walikubaliana kushirikiana kiuchumi ambapo walitiliana saini mikataba ya ushirikiano. Uhusiano wa nchi hizi mbili utakuwa na manufaa gani kiuchumi?