Wimbi la Siasa

Ni wakati mwafaka kwa DRC kujiunga EAC?

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hivi karibuni alionyesha nia ya nchi yake kutaka kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC mbele ya Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli hivi karibuni.Swali lamsingi linalobaki mezani ni je ni wakati mwafaka kwa DRC kujiunga na EAC? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata majibu ya swali hilo.

Rais wa DRC, Joseph Kabila akiwa na Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli
Rais wa DRC, Joseph Kabila akiwa na Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli Ikulu/Tanzania
Vipindi vingine