Gurudumu la Uchumi

Nini nafasi ya Afrika Kusini kwenye uchumi wa nchi za EAC

Sauti 10:00
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (Kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta (kulia) wakati alipokuwa Nairobi kwa ziara, October 11, 2016.
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (Kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta (kulia) wakati alipokuwa Nairobi kwa ziara, October 11, 2016. REUTERS/Siegfried Modola

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia ziara ya Rais wa Afrika Kusini nchini Kenya, Jacob Zuma. Ni ziara ya kwanza kuwahi kufanywa na kiongozi wa Afrika Kusini aliyeko madarakani nchini Kenya. Mikataba kadhaa ya ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara ilitiwa saini na wakuu wa nchi hizi mbili.Ziara hii ina umuhimu gani kwa nchi ya Kenya na Afrika Kusini? Ungana na mtayarishaji wa makala haya akizungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi kuitathmini ziara hii.