Wimbi la Siasa

Burundi yaanza mchakato wa kujitoa ICC

Sauti 09:59
Raisb wa Burundi, Pierre Nkurunziza
Raisb wa Burundi, Pierre Nkurunziza RFI

Bunge la Burundi hivi karibuni lilipiaga kura na kuridhia nchi hiyo kujitoa katika Mahakama ya Kimtaifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC ya mjini The Hague nchini Uholanzi hatua ambayo imekosolewa vikali. Je ni kwanini Burundi ichukue uamuzi sasa na ni mwafaka kwa nchi hiyo kujitoa ICC? Makinika na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujiua undani wa mada hiyo.