Gurudumu la Uchumi

Dhana ya umasikni na kwanini nchi zinapaswa kutazama mbali zaidi dhana hii

Sauti 09:10
Reuters/Eric Gaillard

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili imeangazia na kuitathmini siku ya kimataifa ya kupambana na umasikini, ambapo wataalamu wanasema kuwa, dhana ya umasikini ni pama na mataifa yanapaswa kulitambua hili ili iwasaidie vizuri kupambana na hali ya umasikini unaikabili dunia.