Gurudumu la Uchumi

Ziara ya Mfalme wa Morocco nchini Tanzania na kwenye nchi za ukanda

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia ziara ya Mfalme Mohammed wa sita wa Morocco, aliyoifanya kwenye nchi za Rwanda, Tanzania na Ethiopia. Je, ziara hii ina manufaa gani kiuchumi kwa ukanda, na je, ni kweli ni mbinu ya Morocco kutafuta uungwaji mkono ili irejeshwe kwenye umoja wa Afrika?

Mfalme wa 6 wa Morocco (kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (kulia). 23 October 2016.
Mfalme wa 6 wa Morocco (kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (kulia). 23 October 2016. Ikulu/Tanzania/Issa Michuzi
Vipindi vingine