Wimbi la Siasa

Jamhuri ya Afrika ya Kati bado inahitaji msaada kiusalama

Imechapishwa:

Hivi Karibuni Serikali ya Ufaransa ilitamatisha Operesheni ya kulinda amani na usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ingawaje nchi bado inahitaji nguvu za kimataifa ili kukabiliana na vitendo vya mauaji na machafuko. Je ni sahihi kwa Ufaransa kuondoka wakati huu? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata uchambuzi wa kina.

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin-Archange Touadera akimsikiliza Rais wa Ufaransa Francois Hollande jijini Paris
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin-Archange Touadera akimsikiliza Rais wa Ufaransa Francois Hollande jijini Paris Reuters/路透社
Vipindi vingine