Wimbi la Siasa

Rais Zuma atikiswa na hoja ya kura ya Bunge kutokua na imani naye

Imechapishwa:

Bunge la Afrika Kusini linajadi hoja ya kutaka kupiga kura ya kutokua na imani na Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma hatua ambayo imezua mijadala huku mashirika ya kiraia, upinzani na vyama vya wafanyakazi vikimtaka Rais Zuma Ajiuzulu. Unajua ni kwa nini? makinika na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa ujue undani wa suala hilo.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma REUTERS/Philimon Bulawayo
Vipindi vingine