Wimbi la Siasa

Urusi yaitikisa mahakama ya ICC

Imechapishwa:

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC ya mjini The Hague nchini Uholanzi imepata pigo jingine baada ya Urusi kutangaza kuondoa sahihi yake katika mkataba wa Roma ulioanzisha mahakama hiyo. Swali linalobaki mezani hapa ni kwa nini Urusi imeamua kuchukua hatua hiyo? pata jibu la swali hilo ndani ya Makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile.

Vladimir Putin, Rais wa Urusi
Vladimir Putin, Rais wa Urusi Reuters/路透社