Gurudumu la Uchumi

Ripoti ya UNDP kuhusu usawa wa kijinsia na maendeleo barani Afrika

Sauti 10:01
Usawa wa kijinsia ndio njia ambayo dunia inaelekea
Usawa wa kijinsia ndio njia ambayo dunia inaelekea DR

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna ambavyo kukosekana kwa usawa wa kijinsia, kunavyoligharimu bara la Afrika kiasi cha dola za Marekani bilioni 105 kila mwaka.Je, nini kifanyike ili kufikia malengo ya milenia na yale ya malengo endelevu kuhusu usawa wa kijinsia? ungana na mtangazaji wa makala haya kupata uchambuzi wa kina.