Wimbi la Siasa

Siasa za Ufaransa kuelekea Uchaguzi wa urais mwaka ujao

Sauti 10:32
Wanasiasa François Fillon na  Alain Juppé wanaotafuta tiketi ya chama cha Republican nchini Ufaransa
Wanasiasa François Fillon na Alain Juppé wanaotafuta tiketi ya chama cha Republican nchini Ufaransa REUTERS/Philippe Wojazer/Vincent Kessler/Montage RFI

Makala ya Wimbi la Siasa wiki hii tunaangazia siasa za Ufaransa hususan kati ya wagombea wa chama cha Republican, wanaotafuta tiketi ya chama hciho  kati ya Mawaziri Wakuu wa zamani François Fillon na Alain Juppé kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka ujao.