Gurudumu la Uchumi

Watumiaji wa simu Tanzania kuanza kutozwa kodi ya ongezeko la thamani

Sauti 10:00
Watumiaji wa simu Tanzania, kuanza kutozwa kodi ya mapato VAT kupitia vocha za muda wa maongezi. Desemba 1, 2016
Watumiaji wa simu Tanzania, kuanza kutozwa kodi ya mapato VAT kupitia vocha za muda wa maongezi. Desemba 1, 2016 Emmanuel Makundi/RFI

Mtangazaji wa makala haya, juma hili ameangazia hatua ya kampuni za mawasiliano ya simu nchini Tanzania, kuanza kutoza wateja wao, kodi ya ongezeko la thamani, VAT, katika vocha watakazokuwa wananunua na kutumia kwa mawasiliano yao.Hatua hii itaathiri vipi watumiaji wa simu? Ni kweli Serikali kunufaika na hatua hii kupitia marekebisho ya kodi waliyoyafanya? Kwa makampuni yenyewe hali itakuwaje? Ungana na mtangazaji wa makali haya akidadavua suala hili kwa kina na wataalamu wa uchumi.