Wimbi la Siasa

Umoja wa Mataifa wahofia vita Sudani Kusini

Imechapishwa:

Umoja wa Mataifa kupitia timu yake ya wataalam wa masuala ya haki za binadamu umesema kuwa unahofia nchi ya Sudani Kusini huenda ikatumbukia katika mauaji ya kimbari kama hatua hazitachukuliwa. Je unajua ni kwa nini Umoja wa Mataifa umeibua hofu hiyo? fuatilia Makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile kupata undani wa mada hiyo.

Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir
Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir REUTERS/Jok Solomon