Gurudumu la Uchumi

Umuhumu wa bajeti binafsi, kujua namna bora ya kupanga

Sauti 09:48
REUTERS/Vasily Fedosenko

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inazungumzia kuhusu umuhimu wa kufanya bajeti, mtayarishaji wa makala haya, anazungumza na wataalamu wa masuala ya uchumi, kuchambua umuhimu wa kufanya bajeti na kwani mtu mmoja mmoja anapaswa kufanya bajeti.