Wimbi la Siasa

Obama na Trump watofautiana kiutawala

Imechapishwa:

Kuondoka madarakani kwa Rais wa Marekani Barack Obama na kuingia madarakani kwa Donald Trump kumeibua mitizamo na hisia tofautitofauti miongoni mwa wananchi wa Marekani. Je sura ya Marekani kiutawala itaelekea katika mkondo gani baada ya utawala wa Obama kutamatika, ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa kupata undani mustakabali wa Marekani.

Rais wa Marekani Barack Obama anayemaliza muda wake
Rais wa Marekani Barack Obama anayemaliza muda wake REUTERS/Jonathan Ernst
Vipindi vingine