Gurudumu la Uchumi
Sehemu ya 2, mjadala kuhusu utandawazi na ukuaji wa uchumi
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala ulianza juma lililopita, kuhusu Utandawazi, je utandawazi umesaidia kukuza uchumi wa dunia na kuleta maendeleo au umezidisha ombwe la walio nacho na wasio nacho?Mtayarishaji wa makala haya, amezungumza na Profesa Hamfrey Moshi, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania, pamoja na Dr. Wetengere Kitojo mtaalamu wa uchumi na muhadhiri katika chuo cha diplomasia cha nchini Tanzania.