Wimbi la Siasa

Rais mpya wa Gambia akabiliwa na changamoto

Sauti 09:58
Rasis wa Gambia Adama Barrow
Rasis wa Gambia Adama Barrow REUTERS/Thierry Gouegnon

Rais mpya  wa Gambia amerejea nchini mwake kutoka nchini Senegal alikokimbilia baada ya hali ya kisiasa kuchafuku wakati Yahya Jammeh alipogoma kuachia  madaraka ya Urais baada ya kushindwa. Kutokana na hali hiyo Rais Adama Barrow anakabiliwa na changamoto lukuki za kiutawala. Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa kufahamu mengi zaidi.